FT: KMC 2-0 Singida BS; KMC Complex, Ligi Kuu ya NBC

Kipindi cha tatu kimeanza hapa Naona chasambi awatanguliza mwiko nyuma kwa shuti kali lililomshinda kipa wa jkt
 
Huu ugumu ndio tunautaka kwenye ligi...

Mtu na shemejiye washenyentwa.
 
Kupagawa kupo ila sio kwa kiwango hiki
Typing error hiyo , haiwezi kuwa kupagawa Mimi nimeacha ushabiki wa mpira kitambo sana stage by stage nilianza Ulaya mwaka huu bongo . Kwa sasa sina mood za kucheki game zozote hata international hata kufuatilia habari za sports kwa shida sana mara Moja Moja..
 
Hayo maamuzi yalikuja baada ya Gamondi kutimuliwa au Mc Alger kuwatoa?
 
Typing error hiyo , haiwezi kuwa kupagawa Mimi nimeacha ushabiki wa mpira kitambo sana stage by stage nilianza Ulaya mwaka huu bongo . Kwa sasa sina mood za kucheki game zozote hata international hata kufuatilia habari za sports kwa shida sana mara Moja Moja..
Mbona maelezo mengi? Jibu hoja ya OKW BOBAN SUNZU kistaarabu. Kwani amekuuliza unashabikia au umeacha? Ulaya inaingiaje hapa? EMBU TURUDI KWENYE MADA ILI TUELEWANE......
 
Back
Top Bottom