Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Asante......Kwani mpaka mjulishwe kazi yenu ni kuwa active katika kila thread
Rudia hii kauli ila saizi jikaze usitoe machoziKwa kifupi hii game ni ngumu sana KMC kupata goli
Sio kuwa mtamkataa benchika?😀😀Mtawakataa muda sio mrefu
Wew na mods wenzako mnazingua sanaaaa,Hukuwajulisha Mods
Hivi kumbe nyie hua ni watu, muda wote mi najuaga nyie ni makomputa tuHukuwajulisha Mods
WASEMA?Kwa kifupi hii game ni ngumu sana KMC kupata goli
Umewahi ku-tag hii ID ya Cookie ?Wew na mods wenzako mnazingua sanaaaa,
Game zetu Azam Fc huwa hamuziweki kitufe cha live dadeq, hata tukiwaita vip hamji, mnakera sanaaa, mana ni ubaguzi wa hali ya juu
Afadhali Azam complex hakuna viti Makolo wangeving'oa maana naona wameanza fujo hapa baada ya kuzidiwa [emoji16]