JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
MOROCCO YAFANYA KWELI, YAINGIA ROBO FAINALI
Timu hiyo ya #Afrika imefanya kweli baada ya kuiondoa mashindanoni Uhispania kwa njia ya mikwaju ya penati 3-0 baada ya matokeo ya 0-0 katika dakika 120
Kutokana na matokeo hayo, Morocco inatarajiwa kucheza na mshindi kati ya Ureno dhidi ya #Switzerland, Desemba 10, 2022 katika Robo Fainali.
==============
Dakika ya 120 zimemalizika, sasa ni hatua ya penati.
Hispania wamefanya mashambulizi ya nguvu dakika za mwisho lakini mambo hayakuwa mazuri kwao
Morocco wanapata nafasi ya kufunga lakini mikuu yao inapata kigugumizi kumalizia kazi.
Dakika 120 zinaelekea kukamilika, matokeo bado ni 0-0
Mchezo unaendelea
Dakika 15 za awali zimekamilika.
Zimeongezwa dakika 30, bado matokeo ni 0-0
Dakika 90 zimekamilika matokeo ni 0-0
Mchezo umekuwa na ushindani mkali muda mwingi, zaidi unachezwa katikati ya uwanja na timu zote zinashambuliana kwa zamu.
Mchezo wa Hatua ya 16 Bora wa Kombe la Dunia 2022.