FT: Kufuzu AFCON 2023 | Niger 1-1 Taifa Stars | Uwanja wa de L'amitie, Benin

Atakae fanikiwa mpiga niger nyumbani na ugenini kati ya tz na uganda ndio atakae enda na algeria afcon
 
Mechi ya kimya kimya hii, wahamasishaji wanakusanya bukubuku nani zaidi , na wala haijulikani fedha wanaifanyia nini basi wmegundua uzuzu wa mashabiki wao kuwa wakijazwa upepo wanajaa, Bongo zozo wetu wala sijamsikia
 
90+4'
kuelekea kumalizika kwa mchezo, dakika ambazo hazimruhusu kuku kula punje
 
Samatta yupo chini baada ya kupata rabsha, anakwenda nje kupatiwa matibabu
 
Refa maliza mpira, hakuna ushindi hapa
 
Lakini makocha wetu hawa kila mechi kumpanga Samata kisa anacheza nje ni ujinga, Samata kacheza mechi nyingi za Taifa Stars na hana maajabu,kwanini hawawapi nafasi wengine Samata aanzie hata benchi.
 
Naaam mpira umekwishaaaaaa ambapo Timu zimegawana alama

FT: Niger 1-1 Taifa Stars
 
Lakini makocha wetu hawa kila mechi kumpanga Samata kisa anacheza nje ni ujinga, Samata kacheza mechi nyingi za Taifa Stars na hana maajabu,kwanini hawawapi nafasi wengine Samata aanzie hata benchi.
Sikumbuki game ya mwisho kufunga ilikuwa lini?
 
Hili kundi Taifa Stars haitoboi...
 
Sikumbuki game ya mwisho kufunga ilikuwa lini?
hata mimi sikumbuki ,Samata achajijengea ile mentality ya wabongo wengi kwamba ameshakuwa star ,anaonyesha juhudi akiwa ulaya ila huku kwetu wa kawaida mno ,makocha waruhusu damu changa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…