Unafurahia mruko wa rasta zake? Hahahaaa ila ana energy sana KibudeeMi namkubali shughuli zake dk zote anazocheza hata kama anakosa Clear chances
Jamaa huwa anapambana, ni vile huwa anakosa focus tu mbele ya goliMi namkubali shughuli zake dk zote anazocheza hata kama anakosa Clear chances
Humuoni kuwa hana mbio, washambuliaji wenye kasi wanampita kama upepo au huangaliagi mikimbio yake ?Simba kuna baadhi ya wachezaji wenye miili mikubwa lakini hawana nguvu za kuitumia mfano Kennedy, Nyoni, Kyombo, afadhali hata Kibu anapambana na kutumia mwili wake vizuri kupambania na kucontrol mipira. Outtara ana mapungufu yake lakini mnamuonea.
Kibu anafaa kucheza kama winga wa kupanda na kushuka na sio namba 9.Anajua kunogesha mpira Sana
Anakwenda Kibu wa Dubai...anapiga kama anafinya......[emoji23]
Jana alikuwa anatokea pembeni, na aliperfom vizuri tuKibu anafaa kucheza kama winga wa kupanda na kushuka na sio namba 9.
MsalimieHelo mrembo niko na kibu hapa unaweza ukatupatia namba zako pm?
[emoji23][emoji23][emoji23]nikumbushe jina lake tasavaliAnajua kunogesha mpira Sana
Anakwenda Kibu wa Dubai...anapiga kama anafinya......[emoji23]
Salam kazipata anasema unipatie namba zakoMsalimie
Jina lake limenitoka Mkuu, ila hope Kuna wenzetu hapa wanaweza kuwa na kumbuku naye watatukumbusha[emoji23][emoji23][emoji23]nikumbushe jina lake tasavali
Hizo mbio unazozitaka siyo za center defenders.Humuoni kuwa hana mbio, washambuliaji wenye kasi wanampita kama upepo au huangaliagi mikimbio yake ?
Tunasema ili asikie na ajirekebishe. Sio kumchukia.
Toka aje hajabadilika