Bado goli la pili ndio mtajua kukumbatia wazee hakufai..Nilijua kama hili goli litarudi
Hii nomaHuyu KIPA watamuuuua
Timu ipi unaongeleaMmekua busy na saga la Fei toto week nzima mkashindwa kuaandaa timu.
Makalo Waheed!![emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimepigwa ATTEMPTS hapoooo aiseeHii noma
Umesomea kozi ya urefaSimba wamebebwa hili goli la pili.
Build up ya goli ilikuwa clear offside ila refa akaacha ili kuinufaisha Simba
Chomoa huo mwiko nyuma mkuu akili yako halisi itakurudiaSimba wamebebwa hili goli la pili.
Build up ya goli ilikuwa clear offside ila refa akaacha ili kuinufaisha Simba
Mimi mchambuzi huru.. Au huoni boli mkuu??Umesomea kozi ya urefa
UIlitaka mashabiki wote wa Simba nchini wahamie kambini kuandaa mechi? Acha waandae wachache, wengine tuendelee na ishu ya FeisalMmekua busy na saga la Fei toto week nzima mkashindwa kuaandaa timu.
Mchambuzi kanjanjaMimi mchambuzi huru.. Au huoni boli mkuu??