SawaHii game itaisha hivi.. Kmc 2-1 Simba
Uto tulia uandike vizuri..Hahahaha hahahaha huyu refa... Kmc wameshinywa penati ya wazi kabisa
Wewe utakuwa una mwiko nyuma, si bureKocha kwanini umetuwekea nje kibudenga? Unatukosea sisi mashabiki wa simba. Tuwekee kibudenga kwenye first eleven.
Mwiko unawashaAweso aweso analalamika hapa baada ya kunyimwa penati wa wazi. Simba wanabebwa waziwazi hapa kirumba stadium
Na goli likaingiaWanamtoa okrah wanamuingiza Kibu D
Upo bwaksi inaonekanaHahahaha hahahaha huyu refa... Kmc wameshinywa penati ya wazi kabisa
Anasheherekea mkataba wake aliosaini janaKwahiyo Inonga anashindana na Mayele kugombea ufungaji bora😆
Anasheherekea mkataba wake aliosaini janaKwahiyo Inonga anashindana na Mayele kugombea ufungaji bora😆