Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Wivu tuLeo mmepata kibonde mnajipigia tuu
Hapana huo sio mfumo wetuVipi mkuu leo hazijatembea bahasha?
Mm ya Muharami siyajui nyie si ndo mnatuita Ngafa fc tumelipokea jina. Muharami yy akanyee debe tuu amesababisha tumebatizwa wala ngada wacha tulipokee.Tukamuwekee dhamana Muharami,hakukosea sana
Usije ukaishiwa nguvu kwa furaha ya ushindi maana mechi kadhaa hapa mlikuwa mnaangalia mechi Kwa kuchunguliaUwiii twafwaaa ila walishaonywaa kitambo Ruvu kwa simba lazima asande kwa nyingiii
Topolo wahedHii wanasimba wenzangu sio fixed match kweli? Mbona tumefunga magoli mengi hivi? Itabidi TAKUKURU wachunguze...
Kila timu ishinde mechi zake mtani!!Wacha apigwee tuuu
Guvu moya 😀Hii wanasimba wenzangu sio fixed match kweli? Mbona tumefunga magoli mengi hivi? Itabidi TAKUKURU wachunguze...
Jamani, si wanasimba tulikubaliana timu ikifungwa zaidi ya goli 2 bila ni fixed match TAKUKURU wachunguze auTopolo wahed
Fixed match huwa ni kwa Yanga tu. Sisi simba huwa tunashinda kihalali.Hii wanasimba wenzangu sio fixed match kweli? Mbona tumefunga magoli mengi hivi? Itabidi TAKUKURU wachunguze...
Guvu moya 😀Wananchi mpo?