jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Ndo tujaendelea kushinda sisi Ngada fc hatuna jambo. Halafu sijamtaja mtu mkuuWe dada si tulikubaliana kila mtu ashinde mechi zakeee.
Leo mmekula Cha Mexico au Colombia?Ngada fc for eviribadeee
Leo cha kimexicana mtani yani wanaenda kama wanarudiLeo mmekula Cha Mexico au Colombia?
Vipi mkuu leo hazijatembea bahasha?Kipindi cha kwanza itakuwa poa tukitoka na goli 4, ili 6 tuje tumalizie second half
Yanii 😆 😆 😆Leo haukamiwi sio[emoji28]?
Na wala pira la leo sio bahasha.[emoji16]
Angekuwa Yanga hapa kelele zingekuwa nyingiii za bahashaNaona tukiondoka na ushindi wa goli nne kwa sifuri, leo tumeupiga mwingi.
Kukubari nini? Yanga tatizo lenu kubwa ni longolongo nyingiTatizo wana simba wabishi mno kukubari
Kutoka kwa E'LL CHAPO[emoji1787][emoji1787]Leo mmekula Cha Mexico au Colombia?
Kule kuleKutoka kwa E'LL CHAPO[emoji1787][emoji1787]
NaaaamLeo goli kuanzia 3 yaani ushindi wa kishindo
Fala wewe [emoji16][emoji16][emoji16]Ngada fc for eviribadeee