Keshatuinua wana simbaWangempatia tu ili aprove kama anaweza au hawezi
Unasemajeee weweeeeHuyu kocha anamtoa Phiri mapema sana, dakika ya 65 ili amuingize huyo mshambuliaji butu iko siku itakuja kutu-cost
Wameshangilia vibaya mnoo nimekaa nao hpa kibanda umizaaGoli la mzungu limeshangiliwa inaonekana lilikuwa linasubiriwa kwa hamu Tanzania nzima, hata ndugu zangu wa uto naamini nao wameshangilia walikuwa wakimlilia mzungu...
aisee mtaa mzima imeshangiliwa kama Tanzania imeingia world cup vileGoli la mzungu limeshangiliwa inaonekana lilikuwa linasubiriwa kwa hamu Tanzania nzima, hata ndugu zangu wa uto naamini nao wameshangilia walikuwa wakimlilia mzungu...
Acha mm nimekua ka mwehuaisee mtaa mzima imeshangiliwa kama Tanzania imeingia world cup vile