Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
mgumba akipata mimbaaisee mtaa mzima imeshangiliwa kama Tanzania imeingia world cup vile
galasa hiloLeta Mzunguuuu ...Leta Mzunguuuu
Yaani utulivu mkubwaaUwiiiiiiiii Dejaqaaaaaaan goli la viwangooo
Mtoto anatoka very hb or byutimgumba akipata mimba
Muhandsome wetuUwiiiiiiiii Dejaqaaaaaaan goli la viwangooo
SureUnpopular opinion: Kanoute hapewi sifa anazostahili
Bora wew umeliona hiloo wanajua kumkosoa akicheza rough tuUnpopular opinion: Kanoute hapewi sifa anazostahili
Mdhungu Kaja goli lisilowezekanaGoli la mzungu ndio goli lililoshangiliwa zaidi duniani.
Wako huku kwa mdhuguuUzi wa uto uliishia page ya 11 .. hawana mashabiki.
Simba Hoyeee
#Nguvu Moja