escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Kama wa kwenu janaMuamala umeshasoma kwa kipa
Hongera kwakembishi alafu analazimisha anapambana KWERI KWERI.
Timelifuta acha tuanze upya hahahaKipa wa geita kauza hii game wamtoe
Hii timu ndio mnayolalamika kufungwa na YANGA??
HAMNA AKILI
Sikujishii hata kidogo, na tatizo ni lile lile. DM Yuko wapi? Amechezesha double pivot wanagongana tu akaona Bora atoe mmoja abaki na Box to Box.Simba bado hatuko sawa kwenye midfield Zoran naona hajui ninani na nani acheze wapi
Mualamalaaaaaaaa
Hapana. Okwa alikuwa offside. .. refa na tff ndiyo wanaibeba Simba ... topolo moja linalalama hapa jiraniKipa wa geita kauza hii game wamtoe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kikosi hiko ndio kicheze na YANGA?? HAMNA AKILITatizo mmeanza kushabikia soka mwezi uliopita!!!endeleeni kushabikia rede tu soka achieni wanaume