FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

Kiungo simba wanakatika sana...mkude kutoka ni hasara kwa simba...mnachezewa sana kati...naomba msaada hivi geita wamesajili mchezaj yyte wa kigen?
 
Unaachaje viktor akpan hata kweny sub hayupo unaweka mzamiru sub?
 
Tukiacha ushabiki, bado hii timu haichezi kitimu kabisa, wanacheza kama wameokotana hivi. Wanapoteza sana mipira pale katikati, tulisema hapa Simba waingie sokoni kurekebisha hii timu.
 
Waachie timu Yao mkuu
 
Tukiacha ushabiki, bado hii timu haichezi kitimu kabisa, wanacheza kama wameokotana hivi. Wanapoteza sana mipira pale katikati, tulisema hapa Simba waingie sokoni kurekebisha hii timu.
una nyege sana wewe dada.
 
Tukiacha ushabiki, bado hii timu haichezi kitimu kabisa, wanacheza kama wameokotana hivi. Wanapoteza sana mipira pale katikati, tulisema hapa Simba waingie sokoni kurekebisha hii timu.
unatoa ushauri huku unaumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…