Leo mtaenda kuvuna bila kukomaa hahahaaSasa hivi tunamwaga mbolea. Kuvuna bado bado
Come on Mbeya City[emoji123][emoji123]
The monsterBado muda kadhaa tushuhudie soka safi la Pira Dubai kutoka kwa Mnyama Mkali Mwituni [emoji881] Mkuu Mshana Jr View attachment 2486350
Una uthibitisho au unaongea ongea tuu kama tejaMbeya city piga hao wazururaji mapunda wa ngada
Nenda na magongo kabisa. Unaenda kuangushwa vibaya sana! 😁Mbeya City huwa hamtuangushi 💪💪💪💪
💪💪💪💪😇Seat ya kwanza dirishani...
All the best Green City
Mbeya City huwa hamtuangushi 💪💪💪💪
Piga hayo Madunduka FC
Kocha wa makipaUna uthibitisho au unaongea ongea tuu kama teja
GongowaziHiyo siyo timu, mashetani wekundu tu sijui waganga wa mashetani.
Timu ina minguo rangi nyekundu!!!
Timu ni moja tu Afrika Mashariki na kati, nayo ni Young Africans.
Salute!Nguvu Moja
Seat ya kwanza dirishani...
All the best Green City
Mbeya City huwa hamtuangushi [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Piga hayo Madunduka FC
Miguo miyeusi kama 'filimasond"Hiyo siyo timu, mashetani wekundu tu sijui waganga wa mashetani.
Timu ina minguo rangi nyekundu!!!
Timu ni moja tu Afrika Mashariki na kati, nayo ni Young Africans.
Leo hauna suluhu wala sareDondoo:
Kwenye mchezo uliopita wa Ligi Kuu kati ya Mbeya City na Simba SC, matokeo yalikuwa sare ya kufungana bao moja kwa moja mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Hiyo siyo timu, mashetani wekundu tu sijui waganga wa mashetani.
Timu ina minguo rangi nyekundu!!!
Timu ni moja tu Afrika Mashariki na kati, nayo ni Young Africans.
Niko hapa mkuu naitwa sibanduki mpaka tumbandue mtu hamsa kama jadi yetuBado muda kadhaa tushuhudie soka safi la Pira Dubai kutoka kwa Mnyama Mkali Mwituni [emoji881] Mkuu Mshana Jr View attachment 2486350