FT: Ligi Kuu Bara | Singida Big Stars 0-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Liti

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea kupigwa leo September 9, 2022 ambapo Singida Big Stars walikuwa wakipepeta na Klabu ya Dodoma Jiji FC.

Matokeo ya mchezo huo ni kuwa Singida Big Stars Ulimi nje baada ya kubanwa mbavu kwa kulazimishwa sare ya bila kufungana kwenye uwanja wao wa nyumbani Liti Stadium.

[emoji354]FT: Singida Big Stars 0-0 Dodoma Jiji FC.
 
Timu imejaa wazee kuanzia kocha mpaka wachezaji.ni furaha kwangu kuona tozo zetu zinabumba japo wamenichania mkeka
 
Hawa Singida wanalazimishwa kuwa juu lakini bado sana.
Kuwa juu si kazi rahisi, wanatakiwa kupambana haswa wawaulize Mtibwa Sugar na Azam FC
 
Timu imejaa wazee kuanzia kocha mpaka wachezaji.ni furaha kwangu kuona tozo zetu zinabumba japo wamenichania mkeka
Kocha wa Singida Big Stars aliamua kuwaanzisha Amisi Tambwe na Maddie kagere lakini walishindwa kabisa kupenya ngome ya Dodoma Jiji
View attachment 2353786
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…