Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Sokoine ni uwanja mgumu kwa timu zinazotokea mzizimaAzam ni timu ndogo kweli si kweli?
Walikua wakisaidiana na dismas ten lakini hakua akionekanaAlikuwepo Yanga kabla hajaenda Azam TV kwa kitengo gani?
Kazi kuikamià Yanga tu, kwa wengine mdebwedo.Azam ni timu ndogo kweli si kweli?
Mbinu ya marefarii. Mpaka Uto walishindwa uvumilivu wakamtwanga makonde.Ule msimu wao wafanikio ya ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara walitumia mbinu ipi?