OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Aliyekupa mualiko nanihakuna mechi hapa, tunapoteza muda
Uliitwa hapa?hakuna mechi hapa, tunapoteza muda
Piga filimbi si refa weweBoco yupo offside pia kaingilia mchezo ila refarii anakubali lihesabike goli.. Waamuzi Hawa ni bule kabisaa
Umesahahu wote tuko humu kwa ajili ya kupoteza muda?hakuna mechi hapa, tunapoteza muda
Ile ni offside kaka vipi hakuna bahasha kweli hapaBocco alivyoikwepa very fantastic
nilikuja mwenyewe ila kama kuna uharo si kosa kusema mkuuUliitwa hapa?
sahihi ila wewe wapoteza kwa raha maana naona refa hatak muda wako upotee bureUmesahahu wote tuko humu kwa ajili ya kupoteza muda?
Hawawezi kusema.. ila ni kawaida Yao hawana timu ya maana bila magoli ya namna hii hata nafasi ya pili ni mtihani sana kwaoIle ni offside kaka vipi hakuna bahasha kweli hapa
Jamaa wamekausha ila advantage iyo wangepata wapinzani wao ungesikia bahashaBoco yupo offside pia kaingilia mchezo ila refarii anakubali lihesabike goli.. Waamuzi Hawa ni bule kabisaa
Sijaicheki vizuri niko naangalia mipira miwili at the same timeIle ni offside kaka vipi hakuna bahasha kweli hapa
Mhindi kashakula hela yako naona umechachawa mpk kuandika huweziWaha Simba hawana mpira wowotee.. ushindi Wao ni wa magumashi sana aisee
bado upo tu kupoteza muda?nilikuja mwenyewe ila kama kuna uharo si kosa kusema mkuu