Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hata nyie mnapokea sana Bahasha ndiyo maana hata mmesahau kwenye ligi mlitufunga lini πApo lilipigwa pira "utatoa utoi"
Shukuruni izo bahasha zimewafanya mpo apo mlipo saiv
Mngepambana mpate hata hako kuaushindi kembamba sasa hivi msingekua hapoUto Kaushindi kembamba kama kawaida.
Ndio kazi yenu hamuwezi kuwa useless kwenye kila kituTuna umuhimu wetu..tukisusa watatafutana hhahhah
Na Simba ni kama pilipili kila siku inawawasha[emoji23][emoji23]UShindi mwembwambwaaaa...Yanga ni kama kachumbari kuna siku inachangamka kuna siku imepooza
nyie ni kama nzi utawaona kwny harufu tuu..Ndio kazi yenu hamuwezi kuwa useless kwenye kila kitu
Kwa Ihefu hawatoboiBado game 4 tuwe mabingwa,na hizo nne zinategemeana na Mikia kama hawataangisha points.
Daima mbele [emoji172][emoji169][emoji123]
Tunahakikisha tunawapa muwasho nyie walajiNa Simba ni kama pilipili kila siku inawawasha[emoji23][emoji23]
HahahahYang'aaaaaaaaaa
Ushetani umeanza lini?Leo ni droo tuu hakuna jipya
Hebu tuite vizuri bwana!Yang'aaaaaaaaaa
Wanaelewa sana tu na wanaujua ukweli vizuri ila mtu mzima lazima kidogo ajisitiriKwa Ihefu hawatoboi
Try againHivi bado kuna watu wanaamini simba atakuwa bingwa msimu huu! Mimi naona Yanga wanasubiri tu kukabidhiwa kombe lao, kwa mara ya pili mfululizo.
Point 3 kama kawaida tu.Uto Kaushindi kembamba kama kawaida.
π π π π π karibuuui...Yang'aaaaaaaaaa
Kitu cha ajabu sasa ikichangamka inaongoza ligi na ikipoa bado inaongoza ligi kwa tofauti ya point naneUShindi mwembwambwaaaa...Yanga ni kama kachumbari kuna siku inachangamka kuna siku imepooza
Mwaka wenu huu ila hatukubali mpk mwishoKitu cha ajabu sasa ikichangamka inaongiza ligi na ikipoa bado inaongoza ligi kwa tofauti ya point nane