FT' Liverpool 1-0 Arsenal, Liverpool ya moto, Ushindi wa tatu mfululizo EPL

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Timu ya LiverpoolFC imeitandika Arsenal kwa Goli 1-0 katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya England (EPL) kwenye Uwanja wa Anfield, leo Agosti 31, 2025. Goli pekee likifungwa na Dominik Szoboszlai raia wa Hungary katika dakika ya 83.

Hivyo, Liverpool imefikisha alama 9 baada ya kushinda mechi 3 mfululizo iliwemo dhidi ya Bournemouth na Newcastle United huku Arsenal ikisaliwa na alama 6 baada ya kupata ushindi katika mechi mbili dhidi ya Manchester United na Leeds United ambao ni wageni wa ligi msimu huu.


​
Kipindi cha kwa kimemaliza hakuna mbabe

Liverpool 0-0 Arsenal

​
 
Jogoo lazima aliwe ,atacheza sana Mpira kama Man utd.
 
Mod mnaa sana. Yaani EPL match kaiwekea Live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…