Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
| Nafasi | Timu | Mechi | Pointi |
|---|---|---|---|
| 1 | Guinea-Bissau | 1 | 3 |
| 2 | Nigeria | 1 | 3 |
| 3 | Madagascar | 2 | 1 |
| 4 | Tanzania 🇹🇿 | 2 | 1 |
Ni timu yetu watanzania ila siasa inatuharibia our focus towards this teamJumanne hii, Septemba 29, Taifa Stars itakuwa dimna la ugenini ikicheza na Madagascar, mechi ya kufuzu AFCON 2027
Stars anaingia akiwa ametoka kupoteza mchezo dhidi ya Guinea-Bissau kwa magoli 2-0
Kama Madagascar watacheza mpira waliokipiga na Nigeria tutaoga nyingi.Leo ni 1:1
Sawa 90 zitabongaKama Madagascar watacheza mpira waliokipiga na Nigeria tutaoga nyingi.
Tz inaongoza mojaNgapi ngapi ?
USSR
BossKama Madagascar watacheza mpira waliokipiga na Nigeria tutaoga nyingi.