SPINE JF-Expert Member Joined Dec 11, 2017 Posts 1,073 Reaction score 1,162 Sep 29, 2026 #21 Tanzania haina wachezaji wenye ubora wa kucheza timu ya Taifa. Wengi wao wana uwezo wa kucheza vilabu vya ligi tu.
Tanzania haina wachezaji wenye ubora wa kucheza timu ya Taifa. Wengi wao wana uwezo wa kucheza vilabu vya ligi tu.
Hassan Mambosasa JF-Expert Member Joined Aug 2, 2014 Posts 3,963 Reaction score 5,757 Sep 29, 2026 #22 Hii timu wakiacha hizo kendembwe zao kila ikiwa nyumbani itafika mbali, sababu huwa inafanya vyema ikiwa ugenini tu mara kwa mara ila nyumbaji inaboronga. Hii inayoitwa kutia hamasa ni gema ukilisifia tembo hulitia maji
Hii timu wakiacha hizo kendembwe zao kila ikiwa nyumbani itafika mbali, sababu huwa inafanya vyema ikiwa ugenini tu mara kwa mara ila nyumbaji inaboronga. Hii inayoitwa kutia hamasa ni gema ukilisifia tembo hulitia maji