FT || Mamelodi Sundowns Girls 1-0 Simba Queens | Semi Final | CAF Women's Champions League | 09 Nov 2022

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
FULL TIME

90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza
80' Simba wanapambana lakini mambo yanakuwa magumu

78' Simba wapo nyuma kwa goli moja
60' Ngoma bado ngumu
Kipindi cha pili kimeanza

MAPUMZIKO

45' Mwamuzi anakamilisha kipindi cha kwanza
40' Mamelodi wanapambana kutafuta goli kwa nguvu
30' Simba Queens wanaonesha kuwa imara

Mchezo unaendelea
========

Leo majira ya saa 1:00 Usiku, pale nchini Morocco kutapigwa mchezo baina ya Mamelodi Sundowns Vs Simba Queens ya Tanzania.

Ni mchezo wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Africa kwa upande wa wanawake.

Ikumbukwe, Mamelodi ndiyo mabingwa watetezi wa michuano hii, hivyo Simba Queens leo atakuwa na kibarua kizito sana.

Hivyo ili uwe bingwa lazima upambane vizuri na kuwatoa mabingwa. Kila la heri kwa Simba Queens, hakuna kinachoshindikana na hata mkitolewa hatuna tunachowadai.

Nguvu Moja 🦁🦁🦁
 
Usiku wa kuamkia Leo nimeona kwenye ndoto MALKIA MAKOLOKOLO anafungwa 3-1
1-0
2-0
2-1
3-1 FT
 
Nimeziona 2 za SIMBA[emoji7]
 

Hi ilitakiwa iwe fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…