Tunacheza game mbili siku moja halafu wala hatulalamiki 🤣😂🤣Tunahamishia majeshi huku..Simba taasisi kuuubwaaa sanaaa
AmenMungu bariki Simba Queens
Yeah wawe makini zaidi.Kwa jinsi kadi zinavyotembea kuna uwezeoano Simba Queens wakapata red card
Sababu ya kadi mkuuSijaelewa Haya Mabadiriko Ya Kocha