Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Manchester CityARSENAL tunahitaji miujiza Leo
---
Mechi kati ya Manchester City vs Arsenal (19 Aprili 2026, Etihad) ni moja ya michezo mikubwa kabisa kuelekea mwisho wa msimu wa Premier League.
Hii si mechi ya kawaida, ni kama “final kabla ya final.” Arsenal wanaongoza ligi lakini City wana mchezo mkononi, hivyo matokeo ya leo yanaweza kubadilisha kabisa mbio za ubingwa.
Manchester City wanaingia wakiwa kwenye kiwango bora sana, hasa nyumbani Etihad ambapo wamekuwa wagumu kushindwa. Kwa upande mwingine, Arsenal wamekuwa na matokeo ya kusuasua hivi karibuni na pia wanakabiliwa na majeruhi muhimu kama Bukayo Saka.
Kwa kifupi:
Yeyote atakayeshinda hapa anaweka mkono mmoja kwenye kombe.
- Man City wanahitaji ushindi ili kurudi kwenye mbio za ubingwa
- Arsenal wanaweza kujihakikishia nafasi nzuri zaidi hata kwa sare
- Presha iko juu kwa pande zote mbili
Tujipe mda bwashee, badae kuna watu watapandwa na hasira bila sababu za msingi
Leo jumapili tumeenda ndo tunasubiri meli jangwaniMiujiza ipi hamjaenda kwenye maombezi
Mkuu huna huruma kabisa mtuachie walau makwapa yaamkeKwa Leo naitwa Mpaji Pep Haaland.
Nimekuja kugundua Arsenal mna mashabiki wengi mkibeba kombe mtatunyoosha sana.Mkuu huna huruma kabisa mtuachie walau makwapa yaamke
We fala utajutia, chelkenge mkubwaLeo lazima Intelligent businessman ampe yote halland 😎
Na nyinyi maadui zetu ni wengi mno, yaani dah mna nongwa za waziNimekuja kugundua Arsenal mna mashabiki wengi mkibeba kombe mtatunyoosha sana.
Kuliko Arsenal achukue bora hata EvertonNa nyinyi maadui zetu ni wengi mno, yaani dah mna nongwa za wazi
Ya moto haswaLeo lazima Intelligent businessman ampe yote halland 😎
Mkuu kwani tuna ugomvi nanyi au nadhani utakuwa mshabiki wa nyumbu ww 😀 man u ndo mna visiraniKuliko Arsenal achukue bora hata Everton