ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Mechi ya namungo mayele hakupiga mpira ile ambayo wewe unaihesabu kua haikufika mitano ile ilikua inamgonga tu baada ya kupigwa na wachezaji wengineAta leo Yanga data bebwa tena
Huyuu mayele mechi a Namungo hakupiga hata mashuti ma 5
Wanyakyusa wazee wa otolo fijo naskia leo asubuhi kambini wachezaji walikua wanawalia maparachichi wanaume wa darMbeya kwanza ni ya kwanza daima.
Mechi ya leo tunapoteza alama zote 3
0-41:2 FT
Kwanini?Mechi ya leo tunapoteza alama zote 3