Itakua ya kwanza kushuka darajaMbeya kwanza ni ya kwanza daima.
kwenda wewe sio mchezaji kutuletea uchuro hapa..Mechi ya leo tunapoteza alama zote 3
Ana kazi yake maalum tar 11Aucho leo anachoma mwindi, namuona benchi hapo
Ndio ratiba yake kudeki chooAna kazi yake maalum tar 11
Hahaha mkuu acha tutaku update baadaye ila muda huu alichokifanya mayele ni aibunimechungulia nimegundua kuna sate game hii, mtanistua game ikiisha.
ni pro huyo au naongopa [emoji16]Hahaha mkuu acha tutaku update baadaye ila muda huu alichokifanya mayele ni aibu