Aisee inakuwa ngumu tena, ila ngoja tuoneNgoja tuone Mtani.
Hii timu itakuua!! Achana nayo.it's ok
Hakuna namna wacha tucheke tu mwaya. ππππππππππ
Kabisa mkuuHali sasa ni tete.
Hii sare wanasimba hatuitaki kabisa.
Tunataka tupate goli la chap chap dakika hizi za mwisho mwisho.
Baada ya yanga kushonesha sare ya Muungano, sare ya kesho Mei Mosi ni sare ya mnyamaUkisikia mambo mchanganyiko ndo kama haya sasa. π€£π€£
Sawa Mtani.Aisee inakuwa ngumu tena, ila ngoja tuone
Sifi kwa kideriHii timu itakuua!! Achana nayo.
Huwa sipendi mpira ila simba ni timu ya kipumbavu kabisaAisee inakuwa ngumu tena, ila ngoja tuone
AiseeSawa Mtani.
Waongeze dakika moja tukalale nasinzia90 mkuu
InatuumizaHuwa sipendi mpira ila simba ni timu ya kipumbavu kabisa
Una pa kulalaWaongeze dakika moja tukalale nasinzia
ππππChenchi
Naona umeamua kujipoza kwa style hii Mtani. ππBaada ya yanga kushonesha sare ya Muungano, sare ya kesho Mei Mosi ni sare ya mnyama