🤣🤣🤣Nini bhana,tuache🤒Haraka wapi wakati taarifa mlipewa hadi mjomba wa ntokela na ndugu wote wa isyonje wanajua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbeya city wajilaumu wenyewee.
Ihefu sio Wapuuzi hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ihefu
Ndio ndio, hili baridi dawa yake kahawa tu hamna namna.Uko Dodoma? Maana huku baridi hatari kahwa itafaa mtani..
Kabisa mtani...Ndio ndio, hili baridi dawa yake kahawa tu hamna namna.
Mtuelewe tuu hakuna namna [emoji38]
Ah awapiiiii. Mm ndo najua saahiz kama tulikuwa na gemu. Hatuna Cha kupoteza sisi hata tungefungwa goli 100Yanga hatimae wafurahia drooo.....
Walisema wanafanya mazoezi ila ila kumbe wanaumia...
Yanga hakuna ilichopoteza na ingekuwa sio ratiba ngumu kwa wachezaji unadhani tungefungwa goli 3 na hao mbeya city!!!!![emoji23][emoji23][emoji23]Leo Yanga wanafurahia droo kweli muda unakimbia...
Mliwashiwa moto almanusura mkate kamba mshukuru penalty iliwarudisha mchezoni..
Namwangalia mnyama akiminyana na traffic police akigongwa kamoko na saidoKalale tu sasa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbeya City ashuke daraja. Hana nidhamu.
[emoji23][emoji23][emoji23] elewa vyoteDakika 50: MCC 3 - 0 YNG ( Yanga kauza mechi)
Full time: MCC 3 - 3 YNG (Mbeya City wapuuzi)
Tuelewe lipi sasa? [emoji23][emoji23]
police traffic 0:2 mnyama simba[emoji23][emoji23][emoji23] elewa vyote
Tuki fungwa wananuna tuki draw wananuna tuki shinda wananunaDakika 50: MCC 3 - 0 YNG ( Yanga kauza mechi)
Full time: MCC 3 - 3 YNG (Mbeya City wapuuzi)
Tuelewe lipi sasa? [emoji23][emoji23]
Hata yule kuna jamaa aliwaletea mizozo walitaka kugeuza eneo la ibada kufanyia biasharaJesus huyu ana shari siyo yule tunayemjua aliyehubiri amani na upendo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dakika 50: MCC 3 - 0 YNG ( Yanga kauza mechi)
Full time: MCC 3 - 3 YNG (Mbeya City wapuuzi)
Tuelewe lipi sasa? [emoji23][emoji23]