BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna vitimu vingine ni vya hovyo sana...
Watoto wa mama mnadeka. Kila mkoa kuna ikulu ndogo nendeni mkapumzike ila sijui kama mtatosha. Au mbebane kama wanavyosema wanachuo.Turudini sasa ikulu tukapumuzike
Ndege inatusubiria mkuu mbeya tunarudi keshokutwaWatoto wa mama mnadeka. Kila mkoa kuna ikulu ndogo nendeni mkapumzike ila sijui kama mtatosha. Au mbebane kama wanavyosema wanachuo.
Tumewabeba wakaota Mazembe, hawabebeki, sasa washuke daraja tu hamna namna.Leo Yanga wanafurahia droo kweli muda unakimbia...
Mliwashiwa moto almanusura mkate kamba mshukuru penalty iliwarudisha mchezoni..
Muwashushe daraja walinzi wa mama yenu wakati mmetoka kula ubwabwa wake.Tumewabeba wakaota Mazembe, hawabebeki, sasa washuke daraja tu hamna namna.
Subiri mechi na Prison hatufanyi tena mzaha huu kama wa leo, Nabi ndani na full squard, tunataka kupokea kombe letu kwa heshima.
Simu yangu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna timu chache sana zenye uwezo wa kumiliki kikosi cha wachezaji wenye uwezo unao karibiana. Na mfano mzuri ni Man City ya Pep Guardiola.unamaanisha yanga inawachezaji wakawaida mpaka basi sio?
Komaa..Ngapi ngapi?
π€£ππ€£πKheeee upuuzi mtupu
Ni tabia za Mwanamke mjamzitoTuki fungwa wananuna tuki draw wananuna tuki shinda wananuna
Kwakweli wacha washuke tuu..watu walitawala mchezo wanaleta ujinga kuruhusu mabao ma2 ya ziada...ile penat mm siihesabuTumewabeba wakaota Mazembe, hawabebeki, sasa washuke daraja tu hamna namna.
Subiri mechi na Prison hatufanyi tena mzaha huu kama wa leo, Nabi ndani na full squard, tunataka kupokea kombe letu kwa heshima.
Haahah ndo kauli mbiu tena mtani..hakuna mlichopoteza..mkumbuke mnapoteza legacy...Yanga hakuna ilichopoteza na ingekuwa sio ratiba ngumu kwa wachezaji unadhani tungefungwa goli 3 na hao mbeya city!!!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Ahhhh Yanga [emoji460]οΈ
Ila mkuu tuna pesaTuki fungwa wananuna tuki draw wananuna tuki shinda wananuna
Hata hivyo yanga kikosi kipanaTumewabeba wakaota Mazembe, hawabebeki, sasa washuke daraja tu hamna namna.
Subiri mechi na Prison hatufanyi tena mzaha huu kama wa leo, Nabi ndani na full squard, tunataka kupokea kombe letu kwa heshima.
Hahaha haya bana...Komaa..
ππ€£ππ€£π
Inapoteaje ikiwa kombe tunalo mtani[emoji16]Haahah ndo kauli mbiu tena mtani..hakuna mlichopoteza..mkumbuke mnapoteza legacy...
Mmeshasahau ile ya AnibiteniInapoteaje ikiwa kombe tunalo mtani[emoji16]