Mnajitia madole halafu mnanusa wenyewe.NTIBAZONKIZA ANAWASILIMIA UTO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KIATU KILE MSIMBAZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Timu imefika kutoka Algeria, haijapumzika safari ya IKULU hiyo, kutoka IKULU safari ya Mbeya.Mbeya city mnatokaje Droo na watu waliojishibia mipilau na miubwabwa ya ikulu..
Ila kikosi cha leo saizi yao ni mbeya city...
Hata yenu imebadilika majanga yale yale...shukuruni hao wameshajikatia tamaa..Timu imefika kutoka Algeria, haijapumzika safari ya IKULU hiyo, kutoka IKULU safari ya Mbeya.
Haijafanya mazoezi hata ya jogging lakini inakuja na come back ya kibabe kwenye mazingira magumu na kikosi cha wasugua benchi.
Halafu kuna kitimu kinajiita timu kubwa lakini first eleven haibadiliki, ikibadilika majanga.
haututakiNyie hamtaki ubingwa?
Nadhani umeyaona majanga! πHalafu kuna kitimu kinajiita timu kubwa lakini first eleven haibadiliki, ikibadilika majanga.
Salum, Mwenda, Kennedy, Banda, Mkude, Nyoni hao wote siyo first 11 ya Simba.Timu imefika kutoka Algeria, haijapumzika safari ya IKULU hiyo, kutoka IKULU safari ya Mbeya.
Haijafanya mazoezi hata ya jogging lakini inakuja na come back ya kibabe kwenye mazingira magumu na kikosi cha wasugua benchi.
Halafu kuna kitimu kinajiita timu kubwa lakini first eleven haibadiliki, ikibadilika majanga.
Sikuona majanga, nimeona ushujaa wa wasugua benchi kufanya come back matata ya magoli matatu wakicheza bila matayarisho wala mazoezi.Nadhani umeyaona majanga! [emoji16]
Ni kweli ila sizungzii mechi za michongo (fixed matches)Salum, Mwenda, Kennedy, Banda, Mkude, Nyoni hao wote siyo first 11 ya Simba.
Ni ajabu kusifia comeback huku ukinyamazia kuruhusu mabao matatu! Yaani hata kama Yanga wangeshinda 4-3, bado ni ishara kuwa hakuna akiba ya wachezaji pale first eleven inapokuwa either ina majeruhi, adhabu au imetunzishwa nguvu kwa malengo ya mechi zijazoSikuona majanga, nimeona ushujaa wa wasugua benchi kufanya come back matata ya magoli matatu wakicheza bila matayarisho wala mazoezi.
Nitajie timu yoyote ya hapa TZ inayoweza kufanya kama ilivyofanya timu ya WANANCHI.
Mechi zilikuwa zinaahirishwa ili msipate kisingizio huko CAF leo mnatusi watu kuwa wanapanga matokeo.Ni kweli ila sizungzii mechi za michongo (fixed matches)
Katika watu ambao sikuona mantiki ya kuahirisha mechi mimi ni mmoja wao kwasababu lengo kuu la mashindano lilikua tayari.Mechi zilikuwa zinaahirishwa ili msipate kisingizio huko CAF leo mnatusi watu kuwa wanapanga matokeo.
Yanga wenyewe walipendelea mechi ziahirishwe na ukweli ni kuwa hakuna timu kubwa inataka kufungwa hata katika mechi hizi za kukamilisha ratiba. Ndiyo maana uliona jana Yanga wakafanya zile sub kupambana kuondoa aibu.Katika watu ambao sikuona mantiki ya kuahirisha mechi mimi ni mmoja wao kwasababu lengo kuu la mashindano lilikua tayari.
Mshindi wa kwanza mpaka wa 4 walikuwa wameshachukua nafasi zao na mshuka daraja mmoja alikua tayari ameshakabidhiwa cheti.
Yanga ilikuwa wapeleke kikosi kilichoanza jana, wasingeathirika na chochote, kikosi kazi kingebaki Dar kuendelea na maandalizi fainali.
Kama zisingeghairishwa wenye nia ya kupanga matokeo wangeshindwa vipi?
πππππSiku pekee ambayo tunafungwa huku tunafuraha... [emoji23]
Sijakupinga.Yanga wenyewe walipendelea mechi ziahirishwe na ukweli ni kuwa hakuna timu kubwa inataka kufungwa hata katika mechi hizi za kukamilisha ratiba. Ndiyo maana uliona jana Yanga wakafanya zile sub kupambana kuondoa aibu.