Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Halafu Ili iweje!?Mechi
Yanga hata akipigwa nyingi kikubwa atoe GG tuTulien mle goli 3
Kabisa Kabisa, finalist wa kombe la shirikisho wameamua kusambaza upendo.Nani kajitetea? leo tunataka kufungwa
.Walivyofungwa hapa walisema sababu ni kukosekana kwa Aucho.
Leo watasema Mayele.
Hawa watu ni wakuwa nao makini sana
AahaaaaaKuna raia Yanga ikifungwa wanaumia ikishinda wanaumia yaani tabu tupu
Ni Cha YangaKwani hiki kikosi sio cha Yang'a?
Nyie Mabingwa wa nini?Nabi na leo anaweza kulia tena
Haaahahhahahahah doooh mnavyowaogopaga hapo mbeya city sidhani kama ni ukweli mmewaachiaNi Cha Yanga
Hatutaki mashemeji zetu washuke daraja
Umeangalia msimamo wa Ligi bidada!?Haaahahhahahahah doooh mnavyowaogopaga hapo mbeya city sidhani kama ni ukweli mmewaachia
Hatuja waachia wametufungaHaaahahhahahahah doooh mnavyowaogopaga hapo mbeya city sidhani kama ni ukweli mmewaachia
Sawa mkuu...moja ya wazelendo wachache mlobakia...wacha sisi tubwabwajeeTulikuwa pamoja kwa muda tukipigania heshima ya taifa.
Alafu ni kiwanda cha mabatiHalafu Ili iweje!?