FT: NBC Premier League: Simba 2 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa Uhuru~20,08,2023

72'

Azam wanapata goli la kufuta machozi likifungwa na Idriss Mbombo
 
Dakika 90 na Singida goli 0.
Dakika 90 na Yanga goli 0.

Bado unaisifia timu kisayansi.
Hapa nakosoa sio ki ushabiki bali kiuhalisia.
Simba pumzi bado ndogo kiushindani kocha wa mazoezi alifanyie kazi.

Kiushabiki nashabikia Simba Sports Club.
Mpira wa knock out hauchezwi mwisho dk 90, unachezwa hadi mshindi apatikane!! Mshindi anajulikana- Unyama mwingi sana!! pole kwa maumivu!!! Sijui unateseka ukiwa wapi?
 
Mo mo mo nmekuita mara tatu, Yan nalia kama ng'ombe vile. Hamna kocha hapo, fanyeni maamuzi mapya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…