Mi sitaki hata cheo..huku niliko kunanitoshaAise wakupe uafisa hbr tu siyo kwa kutetea timu lako bovu hakika unaweza kuipambania vyema
Mtani mnishonee na mimi dera mabaki ya vitambaa yakibaki niwe navaa jikoni wakati napikaBibie acha kutuonea gere. Sasa hivi mafundi wako busy kushona suti za wananchi nchi nzima, kwa ajili tu ya kuvaa siku ya kwenda kulipokea kombe na wachezaji pale JNIA.
Mechi muhimu sana hii inatakiwa tubebe kombe la kufa kiume!Saidoo na Kibu wapumzike sasa wametumika sana kwa siku za karibuni
Hatutulii mpk mrudi na kombeKolo kaa kwa kutulia
😄 😄 tupo bwana tumejaa kama wote inamaana hauwaoni?Umesusiwa timu peke yako
CAF inawatambua?Timu Ya Tisa Kwa Ubora Barani Africa..S.S.C inatoa Burdan hapa..!
Sio Mimi ninayesema,ni Wenye mpira Wao CAF..! Mie nakumbusha tu.
Huyu anaanza kikosi cha kwanza hapo Robo kilo fc, Chama out