Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Saluuuuuute Wana JF..
Leo ndo Leo asemae kesho muongo....
Kila lenye mwanzo halikosi kua na mwisho. Safari ilianza August mwaka jana na sasa tunafika tamati.
Kama kawaida Leo Mabingwa wa kihisitoria Dar Young Africans yaani wananchiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji172][emoji169][emoji28] wanaingia uwanjani kumaliza ratiba ya NBC PREMIER LEAGUE. Kumbuka tayari kombe la ubingwa huu wa msimu wa 2022/23 umeshatua Jangwani bado kukabidhiwa tu. Na kitu cha kuvutia zaidi kombe hili ni jipyaaaaaaa kabisa halijawahi kubebwa na timu nyingine tofauti na Sisi. Leo kombe litakua pale uwanjani likimsubiri keputeiiiiiini Bakari Nondo Mwamnyeto anyanyue makwapa jamani jamani jamani Yanga Raha nyie watu.
Mechi hii itakua muhimu sana Kwa straika wa Yanga Fistoni Kalala Mayele mwenye Goli 16 goli moja mbele ya Godfather wa Bujumbura mwamba Saido Ntibazokiza mwenye Goli 15. Leo nyasi zitawaka Moto kuamua Nani abebe tuzo ya ufungaji Bora.
Mechi hii itaruka live kupitia Azam TV burudani Kwa wote kuanzia mishale ya saa 9 na nusu alasiri. Huu Uzi ni maalumu Kwa matukio yote kuanzia dakika tisani za mchezo na baada ya hapo, yaani baada ya kukabidhiwa Kombe.
Kikosi cha Leo kitakacho Anza (starting xi)View attachment 2651146
Diarra
Lomalisa
Job
Bacca
Mwamnyeto
Mauya
Kisinda
Sureboy
Mayele
Mudathir
Musonda
Subs
Meatacha, Doumbia, Kibwana, Bryson, Bangala, Aziz Ki, Nkane, Ambundo, Mzize