FT: NBC PREMIER LEAGUE: Tanzania Prisons 0-2 Young Africans | 09/06/2023

Kila mpira kwa mayele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Sure. Kwakua mmoja wao anaweza akashuka. Izo zingine ushahidi tu kumtafuta mfungaji bora.
Coastal pia wanategemea matokeo ya mechi hiyo. Wakitoka draw au KMC wakishinda, Coastal hata akifungwa yuko safe. Mbeya wakishinda, Coastal wanahitaji at least draw ingawa baada ya hapo watalingana points na Mbeya.

Na Yanga pia wanaangalia kwa makini mechi ya Simba hasa ufungaji wa Saidoo kwa hiyo unaona jinsi hiyo mechi ilivyo muhimu.
 
Tuwekee updates sasa!! Wananchi tunaongoza huko. Na Mayele ametetema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ