black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
19 itapendeza zaidii18 itapendeza [emoji16]
Aki nakwambia Yule mwenye upara kulee natamani asipate hata mojaaa[emoji1787][emoji1787]Leo dua zetu ni kwa Mayele tu. [emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]
Itakuwa kwao kuna majonzi sanaHivi mashabiki wa mbumbumbu wanafanya nini humu, na wakati na wana uzi wao!! Au ndiyo kiherehere!!
Mimi uzi wao hata kuufungua tu sijaufungua. Maana haunihusu.
Wanazingua.Moderator sijui wamelala
Kabisa kabisa yaani Mkuu.18 itapendeza [emoji16]
AahhaaaaShifo ana lilia pasi zote apewe yeye makolo matumbo joto [emoji81][emoji81]
Alishafunga mbona.Aki nakwambia Yule mwenye upara kulee natamani asipate hata mojaaa[emoji1787][emoji1787]
Zipo Mkuu. Nakazia.Naam naziona Goli zingine mbili lazima tuheshimiane [emoji3526]
πππ19 itapendeza zaidii
Hakika, wampe pasi za kutosha.Leo dua zetu ni kwa Mayele tu. ππππ