Mkuu mbona kama scoreboard ni 0-2 una hakika tumefungwa?Tumefungwa.
Matola ni fala sana aiseeh..!Akpan,Kapama,Okrah,Okwa,Dejan hivi hawa walisajiliwa kwa ajili ya nini
Unawaingiza vibwengo
Una haki ya kufurahia Mkuu [emoji881][emoji881]Nipo kipande hii ya Joint Pack Nani iko jirani ikule bia Munyama 2 [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
87' Nyasa 0-2 SimbaTumefungwa.
Kuna ubaya gani?bac utakuta mechi inayofuata Bocco ataanzishwa dah
Acha ujinga wewe... anafamilia huyoKama uongozi wataendelea kumkingia kifua tutaendelea na zomea zomea hatutaki kuchezewa shenzi zangu
Natania tu..!Unasema?
Kwani alipotoka lipuli hakuwa na familia?Acha ujinga wewe... anafamilia huyo
Utani tu mkuu[emoji1]Ayaaa imekuaje tena?
Huyu matola na sub zake ataigharimu timu
Pressing ya Bocco pia superb.Hilo goli ni la Chama Bocco kitulize
Akipatikana kocha Matola amposhe MgundaMatola acha Mgunda afanye kazi yake fala wewe
Nawatia tumbo joto baada ya kuona sub za wazee, ila hilo goli naona kama Bocco kaliingilia tu ni kazi nzuri ya CCC.Mkuu mbona kama scoreboard ni 0-2 una hakika tumefungwa?
Hakuna ubaya ila hiyo ni riskKuna ubaya gani?
Kwani Matola ndio kocha mkuuFukuzeni matola tumechoka