Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Je wewe Marinda yakuwasha niyapitishie Limao nikate shombo..?Unawashwa ki...smi nikukojozee?
Yani kwanza hawako vzr kisaikolojiaWale wapi imara kuliko wapinzani wetu mwanalunyasi mwenzangu
Hahaha wanapiga Bomu MonchwariNendeni kwenye page yenu ya amapiano na wakimbizi wa sudan wenye njaa na saikolojiko problems....
Ila nyie ma uto mna bahati na vimeo...
Hawajiamini huko kwao wamepiga kambi ya wakimbiziNyie mbwa si mna UZI wenu kule umedoda? Mnakuja kushobokea watu tupo ktk Vikao vyetu tunatathmin hawa Pawa Dainamo tuwafanyaje wakija Mjini Daslamu
Kwanini tunakuwa tunategemea matokeo ya nyumbani tuu, tufike wakati sasa tuwe na uhakika wakushinda hata ugenini huo ndiyo mpira wa kileoWaje kichwa kichwa wakutane na pumzi ya moto
Hawana mvuto ... Huku unyamani post 600+ kule bwawani 300-Nendeni kwenye page yenu ya amapiano na wakimbizi wa sudan wenye njaa na saikolojiko problems....
Ila nyie ma uto mna bahati na vimeo...
Mkuu umeona mangapi kati ya ma4?Msipende kulaumu wachezaji nyie Simba...nilikua sijaona goli aliloshindwa Baleke sasa si kipa kamtega?
Mbona tunashindaga jamani?.mbona wana Simba wenzangu huwa mnasahau mazuri wachezaji wanayofanya?Kwanini tunakuwa tunategemea matokeo ya nyumbani tuu, tufike wakati sasa tuwe na uhakika wakushinda hata ugenini huo ndiyo mpira wa kileo
Tusipoenda wanadodaa...hatuendiiiiiDo
Hawana mvuto ... Huku unyamani post 600+ kule bwawani 300-
Mawili kaka....Mkuu umeona mangapi kati ya ma4?