Chama ni mtu mmbaddd....Chama ni mbaya!
Mpaka Young Killer the Sun A.K.A Msodoki anamsifia.βπ
Leo
Mbwa acha niwavushe mipaka,
Na hizo pumba sahani moja lazima tule huu mwaka,
Naruka tikitaka,
Kipa huwezi nyaka labda u- join tu uwe CHAMA kama Mwamba wa Lusaka!
yaani ubora wako uunganishe uwe ufikie kiwanga kama Chama! πππ
Hahahaha uto ni watoto sana kwetu.Do
Hawana mvuto ... Huku unyamani post 600+ kule bwawani 300-
Hii kwangu ni post bora kabisa katika uzi huu inayomuhusu golikipaKipa ni mazingira mapya na changamoto mpya muacheni afanye kazi yakee..nyie mnaosema hakuna kipa mnaijua profile yake vzr?? Hyo ni ajali kazini...
Ulifuatilia mechi za Ligi hii mwaka jana?Kwanini tunakuwa tunategemea matokeo ya nyumbani tuu, tufike wakati sasa tuwe na uhakika wakushinda hata ugenini huo ndiyo mpira wa kileo
Hata sare ya 1-1 anafuzu.Kwahiyo hapa Simba anahitaji sare ya 0-0 ili afuzu?
Ni balaa moja na nusu yaani!Chama ni mtu mmbaddd....
Wamempa maua yake kina Mbwaduke...
Asante mwana Lunyasi...Hii kwangu ni post bora kabisa katika uzi huu inayomuhusu golikipa
0-0Kwahiyo hapa Simba anahitaji sare ya 0-0 ili afuzu?
Kipa unamlaumu bure tu
Mumecheza na timu ya kuokoteza huko kwao hakuna ligi ngojeni muingie makundi mnyooshweNdiyo maana nimewaambia msimu huu hata robo fainali hamfiki kwa kikosi cha aina hii!
Waangalieni watani wenu wanavyocheza kwa kujiamini na pia kwa kuelewana! Nyinyi mpira wenu ni papatu papatu tu.
Huyu demu anawashwa sana na mambo ya SimbaTulia wewe
Jamani nauliza hiviiiii...huu muunganiko qa kipindi cha pili kocha alikua hauoni mapema wangeanza??halafu naanza kumwelewa kocha hataki ngoma aumie...anamuandaa kwa ze supa ligi.k
Hapana jaman ile ni mistake kama mistake zingineKocha na golikipa wafurushwe