FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

Nendeni kwenye page yenu ya amapiano na wakimbizi wa sudan wenye njaa na saikolojiko problems....
Ila nyie ma uto mna bahati na vimeo...
Aisee mmecheza na timu kubwa sana Africa. Power dynamos ni hatari kuliko hata Wydad na Mamelod.

Au nasema uongo ndugu zanguni
 
Jamani nauliza hiviiiii...huu muunganiko qa kipindi cha pili kocha alikua hauoni mapema wangeanza??halafu naanza kumwelewa kocha hataki ngoma aumie...anamuandaa kwa ze supa ligi...
Super ligi tujitoe tu.
Kuna dalili za kupigwa kama ngoma
 
mimi ni yanga, na nimefurahi tulichokifanya kule kigali. ila niwapongeze watani, kiukweli mmepambana na ninajua hapo utu tuvijana tukija dsm tutajuta kuzaliwa. bongo mtakuja kuwachapa za kutosha. wachezaji wazuri na wafungaji mnao wa kutosha, tofauti na sisi yanga tunao viungo ila wafungaji hatuna.
 
Wewe ndo unajua maana ya mpira na utani.
Hongera naww mtani kwa kushinda ugenini.
 
Watakufukuza wakiona hii
 
Hii timu ni nzuri sanaaaaa na hatari sanaaaa kama wakiwa na ONE SPIRIT na wachezaji wakiambiwa waifie timu na kupamba. Ila hii ya kimazoea na kifaza itaigharimu Simba.

Wachukue hatua haraka sana
Sijui makocha wanafanya Nini yaani wachezaji wanacheza Kama wapo mazoezini
 
Hivi Simba shida ni kocha au wachezaji.Je wameridhika kuwa washiriki wasiopiga hatua moja mbele.?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…