Kapombe ni mbovu sijui kwa Nini anaanza
Kwa mpira huu wa simba jiandaeni kisaikolojia hapa kutakuwa 2:0MSubiriniii muda badooo
TuliaSimba kapigwa kibwegeeeee
Poa KamandaTulia
Wakuje tu then watasepa 😁Uzi utajaa kijani na njano muda si mrefu...
unabii wa kiduanzi😂😂💔Mimi sio shabiki wa Yanga ila naona kabisa Power Dynamos wakishinda hii mechi.