FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

dk ya 70

kumbe kuja na mapipa na msosi wao walisha shtukia janja janja
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] cha kufa na presha kitu gani??
Kwanza kesho nawaekea pesa mamelodi, vyura sina imani nao kabisaaa [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu wawwkee utopoloo, udake maokotoo ya kushatoo, hicho kikosi kipanaa wee huogopiiii?
 
Simba wanafanya vizuri kazi yao waliyosomea ambayo ni kupoteza nafasi za wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…