Simba wamefanya kamari ya kijinga sana, chukua kombe ila bado haitapoza hasira za mashabiki kivile maana wengi wanaona ni kombe lisilokua na tija, ila atleast itawapa ahueni, ila sasa wakifungwa naona damage itakua kubwa sana kwa mashabiki kushinda hata wakichukua, unnecessary gamble imo!!