FT: Simba 1- 0 JKT Tanzania; ni "Mzee " Chama tena

Sahihi mimi mwenyewe ni shabiki wa Simba lakini kwa sasa nimeachana kabisa na ishu za Simba mdogo mdogo. Mitimu ya Kariakoo ya ******* sana.
Wazo la kupambania nchi inapaswa iwekwe wazi ili watu wajue ni matendo yapi yanayotakiwa kufanywa kama njia ya kuipambania nchi. Kuacha kushabikia Simba na Yanga sio ndio nchi inakombolewa, kuwa watu hawana hobby kabisa na mpira wa Simba na Yanga na wengine hawajui kabisa kuhusu mpira lakini hawana mitikasi ya uharakati.
 
Chamaaaa babaaa
[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Watu wanqmsifia sana chama lakini wanamsahau mtu anayemfanya Chama afunge nae si mwingine ila Elly Mpanzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…