FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
NBC Premier League leo Jumatano. Mabingwa watetezi watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuwaalika GEITA GOLD FC. Geita Gold wameshinda mchezo mmoja tu tangu ligi imeanza, huku wakiwa na kumbukumbu ya Kumbana Yanga Sc pale kwa Mkapa na Kuibuka na Ushindi Mwembaba wa Goli 1.

Koch Msaidizi Wa simba Alisema leo kikosi kitakuwa na mabadiriko makubwa kwasababu ga kujiandaa na Mchezo wa Marudiano wa Dec 4 na Red Arrows.

Swali Je, Pablo atakubali kuanzisha kikosi Cha Majaribio Leo? Ana Ikitegemewa Mchezo kuwa Mgumu kutokana na Matokeo ya Geita Gold

Je, leo Geita Gold wataweza msimamisha mnyama? Tuwe hapa pamoja kuanzia saa 1:00 usiku.
 
Kiti cha mbelee..VIP
 
Mnyama leo anatoa kipigo kikali sana kwa wachimba dhahabu. Mnyama mbele kwa mbele.
 
Tunaendelea kumpumulia uto kisogoni halafu tarehe 11 tjnachukua points zetu 3 muhimu tunaanza safari ya ubingwa rasmi.
 
Kutabiri ushindi kwa simba ni rahisi sana, kitu ambacho ni ngumu kutabiri ni mchezaji gani leo ataibuka na goli nyingi pamoja na kuwa mchezaji bora wa siku ya leo
Uko makini sana mkuu na timu yetu maana ushindi hauna mjadala bali mjadala nani ataibuka kuwa na idadi kubwa ya magoli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…