Tuache hizo habari hazijengi kwa sasa tutampa lawama bure tu refaama kweli nyani haoni kundule
Simba wanatakiwa kuingia studio na kutoa kibao cha rose muhando nibebe remix hakuna haja ya wao kucheza soka maana wamejaza wakimbizi na wauza mkaa
muda mwengine kumbe akili huwa zinawarudiTuache hizo habari hazijengi kwa sasa tutampa lawama bure tu refa
Acha unafki, we ni utopwinyo uliye kubuhu hakuna asiyejuaMimi ni simba damu damu
Lakini huu mtindo wa MO kuhonga marefa sipendi kiukweli
Hataki kukubali yanga wako vizuri zaidi yetu. Kwanza katuletea wachezaji wa bei rahisi..
Tarehe kumi na moja tunafungwa tena bila kuhonga hatushindi..
Hawatushindi sisi simba huwa tunabebwa mpka aibu yaani hata Rose muhando huwa habebi kama hivi yaani.Kwani yanga huwa hawabebwi?
We msukule, tulia. Sindano isije kukatikia kwenye tako.Hawatushindi sisi simba huwa tunabebwa mpka aibu yaani hata Rose muhando huwa habebi kama hivi yaani.
Ni wakati wa kumfukuza MO tutafute mfadhili mwengine huyu hafai anatuharibia simba yetu..
HakikaKwa kweli mashabiki wengi wa simba ni tofauti na wa upande wa pili. Hapa mashabiki wengi wa simba tunakiri kubebwa na timu kucheza vibaya. Wa upande wa pili wao lawama huwa ni kwa tff na waamuzi hata timu yao ikiwa mbovu.
Ha..ha..haNi makosa ya kibinadamu yanaweza kumkuta mtu yeyote tumsamehe refa
Sasa kama unaona Simba haishindi si kwanini ukereke si uhamie utopoloMimi ni simba damu damu
Lakini huu mtindo wa MO kuhonga marefa sipendi kiukweli
Hataki kukubali yanga wako vizuri zaidi yetu. Kwanza katuletea wachezaji wa bei rahisi..
Tarehe kumi na moja tunafungwa tena bila kuhonga hatushindi..
kiukweli hii tuzo sikustahili, refa wa mbeleko wa simba amestahili zaidi yangu.We msukule, tulia. Sindano isije kukatikia kwenye tako.
mimi ni mwanasimba damu damu siwezi kuhama.Sasa kama unaona Simba haishindi si kwanini ukereke si uhamie utopolo
nenda takukurumimi ni mwanasimba damu damu siwezi kuhama
Lakini vitendo vya kihuni anavyofana MO wetu havitakiwi na anatakiwa afungwe jela
Tunashinda mpira wa Rose muhando
Yanga watatuzabua ata 5...
Ujinga mtupu, Sasa si Bora mpewe ushindi wa ligi na ligi iishe tu kuliko kupotezeana mudaDawa ya moto ni moto
Mhimu point 3
Kama ulivyobebwa ww na namungoMmebebwa
Jana kama hivi ulikua unaniambia nateseka, vipi leo hii wewe ukiambiwa unateseka utajiskiaje?
Kwa ule mpira dhidi ya namungo, hiyo 4G inaihusu Uto Dec 11Kwa mpira huu sintoshangaa nikisikia 4G imewahusu.
Mimi, yanga kuna mayele na auchoSasa we unashinda kutwa unajadili threads za Yanga. Unakamia sana
Nibebe remix - Yanga ft Simbamuda mwengine kumbe akili huwa zinawarudi
Nasemaje rose aingie studio afanye remix na Mudi itakuwa ngoma kali huku prodyuza akiwa refa sanya..
Boonge la ngoma
Usichojua ni kwamba Mimi si Yanga. Tafuta Uzi wowote àmbao Yanga alibebwa kama Mechi ya Namumgo uone comment zangu. Ninachokikataa Mimi ni nyie mnaobebwa na ushabiki na kushindwa kusema ukweli.jana kuna errors zilikua zinafanyika pale sokoine na nilipojaribu kusema, mashabiki wengi wa yanga walinijia juu wakisema nateseka mara sijui naumia...
Vipi na wewe leo hii kwa hiki ulichokiandika nikikuambia una umia na kuteseka utachukuliaje?