FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

Kamela zilichelewa kuonesha tukio mapema.
Kapombe alisukumwa kabla ya kuruka akasogea mbele na kuanguka.
Mfungaji aitumia hila na ujanja.
Asante Saanya kwa umakini wako uliotukuka.
 
Kamela zilichelewa kuonesha tukio mapema.
Kapombe alisukumwa kabla ya kuruka akasogea mbele na kuanguka.
Mfungaji aitumia hila na ujanja.
Asante Saanya kwa umakini wako uliotukuka.
View attachment 2030165
Acha kulisha watu matango pori, hata aibu huna!

Vaa miwani uone vizuri.

Alafu kama angekuwa amesukumwa Manula lazima angelalamika na hata huyo Kapombe naye angelalamika
 
Attachments

  • VID-20211202-WA0001.mp4
    4.8 MB
Acha kulisha watu matango pori, hata aibu huna!

Vaa miwani uone vizuri.

Alafu kama angekuwa amesukumwa Manula lazima angelalamika na hata huyo Kapombe naye angelalamika
Mpira haukua na kasi na manula alikua na uwezo wa kuucheza, lakini akauacha. Ni dhahiri kapombe alikua wa kwanza kuruka na akasukumwa .. punguzeni hasira [emoji38]
 
Haha haha haha...
Wa kufukuza chawaa
--------------------
1Team1Dream
 
Acha kulisha watu matango pori, hata aibu huna!

Vaa miwani uone vizuri.

Alafu kama angekuwa amesukumwa Manula lazima angelalamika na hata huyo Kapombe naye angelalamika
Msome mwenyewe hapa alivyojieleza.
Ni kwamba amekubali alimbughudhi na alimpa mkono wa fair play.
Tukio liifanyika mapema kabla ya kamela kulifikia

Msome mwenyewe hapa alivyojieleza.
View attachment 2030336
Akili bure kabisa.

Si hata mimi naweza nikaandika niksema Shomari Kapombe niliongea naye akaema
"Mimi sikusukumwa bali pale nilianguka bila kusukumwa, kama Refa alilikataa goli labda si kwasababu ya mimi kusukumwa labda kwa sababu nyingine."
 
Shughuli tukitoka nje sasa ndio unashangaa mwamba wa Lusaka hata kwenye bechi la akiba anakosa namba, kumbe ukweli ni kwamba ametoka kwenye ligi dhaifu.
Ndio ni ligi dhaifu mno lakini historia itaandikwa Simba alifanya vizuri ndani na kimataifa,wenye ligi bora kina Al Ahly na As Vita wanakalishwa na Simba.
 
Ndio ni ligi dhaifu mno lakini historia itaandikwa Simba alifanya vizuri ndani na kimataifa,wenye ligi bora kina Al Ahly na As Vita wanakalishwa na Simba.
Mbona Hamchukui Hayo Makombe Mbele Yao Kama Kweli Mnawakalisha?
 
Huyo hapo Mpole anamsukuma Kapombe kabla ya kumfikia mpira.
Hongera sana Refarii Sanya.
Wewe ni wa kiwango cha kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…