FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

Kibu anahitaji marekebisho akiwekwa sawa hivyo vitu atakuwa mzuri zaid
 
Simba wajitahidi hii mechi wasitoe droo maana siiamini kabisa Simba yangu kwenye matuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…