Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mkuu Mbona TRA Ni Kipimo Kizuri Kwa Simba SC Ona Leo Tumeshinda Goal Nyingi Tumeona Mapungufu Yetu Hivyo Jumamosi Tunaenda Kurekebisha.Kichwa chako kichafu
Easy! Easy! Easy! Mkuu.
๐Ila uto wanaipenda Simba nyiee...walitunanga na watsup chanel yetu ila huwakosi kule na vi emoji vyao vya
๐.... ๐ฅฒ.....๐ฒ......
Timu Yao hiyoo๐๐Punguza Jaziba Mkuu.
Tengeneza Timu Usidhani Mtafanya Vizuri Kwa Timu Mbovu.
Kichwa KichafuMkuu Mbona TRA Ni Kipimo Kizuri Kwa Simba SC Ona Leo Tumeshinda Goal Nyingi Tumeona Mapungufu Yetu Hivyo Jumamosi Tunaenda Kurekebisha.
TRA Ni Kipimo Kizuri Tu Kwa Simba SC Tunashukuru Mashindano Ya Azam Federation
Kule hakuna timu iliyopigwa goli nne na Yanga kwenye hatua ya makundi mpaka fainali ila huku kwenye champions league kuna timu imebamizwa goli nne.Kama kule mlicheza na wanaume wa shoka basi ihesabiwe..!