Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Golikipa wa Uto amevalishwa jezi ya DiaraYanga ashalambwa kimoko, πππ
Kwahiyo Sunderland/Queens kwanini bado ndiyo wamepigwa mechi nyingi head to head? Kwanini imepigwa goli nyingi zaidi?Tokea enzi na Enzi Simba ndio inakuwaga wa kwanza kutawala na kuchukua makombe Tanzania ,yaani hii ni nature...Hata kwa wanaume Simba ndio club ya kwanza kutawala mpira wa Tanzania na kuchukua makombe ya ligi kuu..mwaka 1974,1975,1976,mfululizo ndio ikaja timu inayoitwa Mesopotamia,alafu baadaye yanga ndio wakaja....
Sasa ipo hivi Simba Queen ya kwanza,ikaja JKt queen then baadaye yanga watakuja...
πππGolikipa wa Uto amevalishwa jezi ya Diara
Lini iliwahi kuwaweza??Yanga princess haiwawezi simba queens kwa sasa.